Ushauri
Kuna jamaa hapa alikuwa anatoa ushauri eti Acheni kutongoza mademu wengine wakati bado mko involved na demu mwingine...jamaa kampa jibu eti kwani Ukienda kununua kiatu unaenda peku? Nimecheka nusu nizimie...watu sijui huwa wanatoa wapi majibu khaaa 😂😂😂😂 🙊🙊