Posts

Showing posts from 2017

KANSIIME AKILI ZAKE ANAZIJUA MWENYEWE

Image
maneno ya kansiime

Ushauri

Kuna jamaa hapa alikuwa anatoa ushauri eti Acheni kutongoza mademu wengine wakati bado mko involved na demu mwingine...jamaa kampa jibu eti kwani Ukienda kununua kiatu unaenda peku? Nimecheka nusu nizimie...watu sijui huwa wanatoa wapi majibu khaaa 😂😂😂😂 🙊🙊